Juu na chini ni wakaazi wa Mji Mkongwe, Zanzibar, wakitembea ana miavuli baada kushindwa kutembea huku mji ukionekana mtupu baada wakaazi kuwekwa mapumzikoni majumbani kwa mvua za masika zinazonyesha hivi sasa
Picha na mdau wa www.zanzibarcarhire.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 08, 2011

    tuna mashaka na huyo mdau wa picha ya juu..kuhusu hiyo fulanazzz!!?
    Maana fulanazz ya blog ya jamii siku nyingi haionekani..na wala hatuna taarifa kwa nini? haionekani! na tushaanza msako wa kuisaka..sasa hii picha tunaomba tuonyeshwe sura ya huyu mdau..hili tujue kama ndie basi
    hatua za haraka zichukuliwe..
    wadau
    FFU Ughaibuni

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 08, 2011

    jamaa wa picha ya juu ako kafulanazzzzzz kama ndicho wanachokitafuta kikosi kazi kwa madai kimepotea,na bila kujua nani? alinyakua basi subiri wakukute nacho makachero wao ..lazima watakuvua adharani

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 09, 2011

    sio yenyewe, fulana ya ankal ina kola nyeupe ya mdau kwenye picha kola ya bluu....ila mdau ni hatari kuvaa fulanaz kama hii maanake mashabiki wa libeneke hawakawii kuchukua sheria mkononi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...