Mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la The African, linalochapishwa na Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, yenye Maskani yake Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam, Mwani Nyangasa (katikati) akifurahia baada ya kukabidhiwa Cheti cha ushiriki wake katika Kozi ya AFP/FIFA ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Kombe la Dunia la Wanawake linalotarajia kufanyika German. Kozi hiyo inatarajia kumalizika wiki hii.
Picha na Sufiani Mafoto.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...