Mbwana Matumla akikabidhi mkanda wake mara baada ya kumchapa Gabriel Ochueng wa Kenya wakati wa pambano lake la kugombania ubingwa wa UBO Mbwana alishinda kwa pointi wakati wa pambano ilo la ubingwa wake lililipigwa raundi 12 na kufanikiwa kumnyuka mkenya huyo.
Bondia Mbwana Matumla (kulia) akipambana na Gabriel Ochueng wa Kenya wakati wa pambano lake la kugombania ubingwa wa UBO Mbwana alishinda kwa pointi wakati wa pambano ilo la ubingwa wake lililipigwa raundi 12 na kufanikiwa kumnyuka mkenya huyo.
Damu nzito kuliko maji, bondia mkongwe Rashidi Matumla (kulia) akimpatia maelezo mdogo wake Mbwana Matumla wakati wa pambano lake la kutetea Ubingwa wa UBO lililofanyika Dar es salaam jana Mbwana alishinda kwa point na kutetea vema taji lake.kushoto ni kocha Habibu Kinyogori.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...