Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda akisaini katika kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Mhe. Spika,Anne Makinda kijijini kwao Njombe asubuhi hii.
Wakazi wa mji wa Njombe wakimpokea Mbunge wao Mhe. Anne Makinda mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Njombe akiwa na mwili wa marehemu mama yake asubuhi ya leo.
Vijana wakimkabidhi Mama Makinda shada la maua kama ishara ya maombolezo.
Jeneza lililobeba mwili wa Mama yake Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda, Bibi Tulakale likiwa nyumbani kwa Spika Njombe.
Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah akisaini kitabu cha maombolezo asubuhi hii nyumbani kwa Spika,Njombe.Picha na Prosper Minja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2011

    Pumzika kwa amani mama,asante kwa kutupatia kiongozi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...