Duka moja kubwa la jijini Dar es salaam, linatangaza nafasi tano (5) za kazi
kwa waombaji wenye sifa
zifuatazo:

1. Msichana/mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na 30.


2. Elimu kidato cha nne, sita na kuendelea.


3. Aweze kuongea na kuandika kwa ufasaha lugha za kiswahili na
kiingereza.

Fika ofisini kwetu ukiwa na barua yako ya maombi iliyo
ambatanishwa na C.V yako kwa ajili ya usaili. kwa watakao fanikiwa wataanza kufanya kazi next day!


Kwa maelezo zaidi Piga simu 0713 60 83 83 au 0756 60 83 83

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hpa pana harufu sio nzui:

    - Kwanza, weka fursa sawa kwa jinsia zote, labda iwe ni duka kwa ajili ya kundi fulani la watu;
    - Pili, usibague watu kwa umri wao, kama vile wafanyavyo kwenye mashindano ya umiss. Umri wa miaka 18 hadi 60 ndio sahihi;
    - Tatu, ni kazi gani ambayo mtu mwenye miaka 31 haiwezi lakini mwenye umri chini ya hapo anaiweza?;
    - Nne,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...