Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipokewa na wafanyakazi wa Uhuru FM,kwenye jengo la Ofisi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam leo
Mkurugenzi wa Uhuru FM, Mikidadi Mahmoud (kushoto) akimpatia maelezo Nape.
 Nape akiwasikiliza watangazaji wa Uhuru FM  Saidi Ambua (kulia) na  Dj Fast Eddie  (Kaka Mkubwa), wakiwa kwenye kipindi cha 'Ukweli ndio huu' leo asubuhi. Kushoto ni Mkurigenzi wa radio hiyo, Mikidadi Mahmoud na wengie ni wafayakazi wa Uhuru FM na kulia kwa Nape ni Katibu Msaidizi wa kiongozi huyo, kaka Sixtus 
 Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na wafanyakazi wa Uhuru FM leo, mtaa wa Ukami na Kariakoo, Dar es Salaam. Kuliao ni Mahmoud na kushoto ni Mhasibu wa Uhuru FM John Shija, na Katibu Msaidizi wa Nape, Sixtus Mapunda
 Mtangazaji wa Uhuru FM Sheila simba akiwa kazini wakati wa ziara ya Nape katika studio za radio hiyo
Mtangazaji wa Uhuru FM, Dj Fast Eddie akiwasha moto kwenye kipindi cha ukweli ndio huu ndani ya studi za uhuru FM
 Waandishi wa Uhuru FM, Samira Kiango, Neema Mwangomo na Hidaya Mashaura wakiwa kwenye mkutano huo na Nape.
Wafanyakazi wa Uhuru FM wakiwa kwenye mkutano na Nape.Picha Zote na Mdau Bashir Nkromo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...