Thuwein Makamba(kushoto)akiwa katika picha ya Pamoja na Dada Yake Mwamvita Makamba Muda mfupi baada ya Kulamba Nondozzz ya Masters Degree in Tropical Medicine Kutoka
Tulane University nchini Marekani
Tulane University nchini Marekani
Thuwein Makamba akiwa na Mdau(kushoto) na Dada yake Mwamvita Makamba Muda mfupi baada ya Kulamba Nondozzz ya Masters Degree in Tropical Medicine Nchini Marekani
Mwamvita Makamba(kati)akiwa na Wadau Mbalimbali Nchini Marekani Muda Mfupu baada ya Sherehe za Kumpongeza Thuwein Makamba(kulia)Kwa Kulamba Nondozzz ya Masters Degree in Tropical Medicine Nchini Marekani
kina makamba wote kama chupa za bia.... huwezi kuwakosea kabisa.
ReplyDeleteafu wenzetu karibia familia nzima wasomi, ukiolewa/kuoa hapo huna hata elimu ya form 6 inakuwaje? mmmmmmh
hongera bwamdogo
Thuein fanya urudi Bongo bhana,chama chenu kinayumba...kinahitaji damu changa kama yenu...Hongera sana,tena tena
ReplyDeleteHongereni kina "Manyuzi" mmejitoa kimasomaso kwenye elimu. Ni jambo zuri sana. Mzee wenu aliona mbali mumpe heshima yake kwa hilo.
ReplyDeletekaka huna budi kumshukuru Allah kuhitimu masomo.pamoja na juhudi zako bila yeye isingewezekana.
ReplyDeleteHaya sasa shule imekwisha..karibu bongo tuungane kwenye mapambano kutokomeza adui zetu akina Ujinga,Maradhi,Njaa na UCHAKACHUAJI!
dupr!
ReplyDeleteHongera brother
katibu sana bongo uje tuanze kutafuta kazi sote