Mdau Mary Mzubwa Ndaro, ambaye ni mai waifu wa mdau na mpiganaji Idd Ligongo, amekula nondozzz ya "Masters in Sociology," kutoka Chuo Kikuu cha Wichita State University, Kansas, USA majuzi.
Mdau Mary Mzubwa Ndaro akiwa na mai Hazibendi wake mpiganaji Idd Ligongo, ambaye inasemekana nae yupo msituni kwa sasa kurivenji kula nondozzz na yeye
Mdau Mary Mzubwa Ndaro akiwa na Profesa wake kati na mhitimu mwenzake wa nondo hiyo.
Mdau Mary na familia baada ya kula nondozzz.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2011

    Wow, congratulations, both of you guys! Ligongo is one of serious famous young people hapa Bongo. Sijawahi kuongea na wewe ila washkaji wanao kujua wanasema ukomakini sana, by the way nilikusikia Voice of America ndo ushakula shavu mkuu? Hongera sana jua wewe ni mfano kwa vijana wengi maana you have a very long history.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 19, 2011

    Congratulation My Dear Mary, The Storm is over now!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 19, 2011

    hongera sana wewe na family yako

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2011

    Big Up Mzubwa! nakuombea kwa mungu aendelee kuwa na pamoja na wewe na familia yako kwa ujumla fruit of Bwiru Girls(1993 - 1994). Ila nakukubali my schoolmate

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2011

    Hongera sana Nzubwa Ndaro,nimefurahi tena kukuona hapo nimekumbuka old days at Bwiru gals,ukiwa form 4 na mie form 3,ila kusahau shosti zako kina zainabu,hollo kazi,emma,RIP catherine,Nazza etc,...! Enzi ya mwalimu Emma na Sadiki wakumbuka mamie....! She si very brilliant wacha kabisa..! Still admire you...!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 20, 2011

    Congratulation for great achievement Mzubwa!!!!!Nenda kachukue nafasi yako kwa JK.Ukaondoe mafisadi.chukua nafasi mama!!!!We trust you for your ability,integrity,kind,love,respect, confidence,honest and we have faith in you.Please put your application today.jamani mpeni binti kazi yake!!!!Wanasiasa mnaoleta longolongo kuwa mnatetea watu.Binti huyo mpeni nafasi ili atumikie umma

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...