BMTL ni mojawapo ya makampuni makubwa ambayo yameamua kukimbia adha ya foleni na msongamano wa magari katikati ya jiji la Dar na kujenga nje ya jiji. Hapa ni maeneo ya Victoria ambao wamesshusha nanga na kukaribisha makampuni mengine humo ndani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 19, 2011

    Lugha ya Kiswahili ni nzuri kwa kuiongea na kimaandishi. Lakini vijana wa sasa hawajui kuandika mfano, Kamuni au Inaonesha lugha hii sio Kiswahili sijui wana maana ya Kampuni au Inaonyesha?!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...