Wananchi na wakaazi wa mji mkongwe wakitoka nje ya majumba yao na kukimbizana huku na kule baada ya paa la nyumba kuanguka na kuzua kizaazaa pichani wanaonekana watalii wakiangalia kwa mshangao baa hilo baada ya kuanguka. Picha na mdau wa Zanzibar Car Hire
Sehemu lilikoporomokea paa hilo. Haijulikani kwa nini liliachia

Mungu Mkubwa hakuna aliedhurika...









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 03, 2011

    Mji Mkongwe umejaa majumba mengi mabovu. Ni wakati wowote yataporomoka na kujeruhi mtu. Wakaazi wao hawayajali maana si mali yao. Ushuri wangu wakaazi wahamishwe na kutafuta wawekezaji wapewe kufanya mahoteli na maofisi na nyumba bora za kupangisha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2011

    Kwahiyo Mtu angekufa Mungu si Mkubwa? Mwenyezimungu ni Mkubwa tu Hayo mapaa yameegeshwa tu isivyotakiwa na Majumba ni ya 20 Kweusi unategemea nini? kunahitaji ukarabati na uchunguzi wa majumba ya sehemu hizo mengi tu kwabla kuhatarisha Wananchi lazima kuishi kwa kumuomba mungu na kujuwa Mungu ni mkubwa kwa lolote. Daz

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2011

    Tumshukuru Omar kwa kupewa uwezo na Mungu kuwaondoa watoto kama 4 hivi otherwise ingewa mbaya sana, nilikuwepo tukioni na ningekuwa muhanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...