Home
Unlabelled
paa laporomoka mji mkongwe leo, hakuna aliedhurika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mji Mkongwe umejaa majumba mengi mabovu. Ni wakati wowote yataporomoka na kujeruhi mtu. Wakaazi wao hawayajali maana si mali yao. Ushuri wangu wakaazi wahamishwe na kutafuta wawekezaji wapewe kufanya mahoteli na maofisi na nyumba bora za kupangisha.
ReplyDeleteKwahiyo Mtu angekufa Mungu si Mkubwa? Mwenyezimungu ni Mkubwa tu Hayo mapaa yameegeshwa tu isivyotakiwa na Majumba ni ya 20 Kweusi unategemea nini? kunahitaji ukarabati na uchunguzi wa majumba ya sehemu hizo mengi tu kwabla kuhatarisha Wananchi lazima kuishi kwa kumuomba mungu na kujuwa Mungu ni mkubwa kwa lolote. Daz
ReplyDeleteTumshukuru Omar kwa kupewa uwezo na Mungu kuwaondoa watoto kama 4 hivi otherwise ingewa mbaya sana, nilikuwepo tukioni na ningekuwa muhanga
ReplyDelete