Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akipata maelezo toka kwa Balozi Peter Kallaghe alipokutana na wafanya  biashara wa kitanzania nchini Uingereza. Kulia ni Mkurugenzi wa Swift Freights Uk Ltd. kampuni tanzu ya kusafirisha mizigo nchini uingereza Bw. Abubakar Faraji, Chini Mheshimiwa waziri muu akikutana na wafanyabiashara Watanzania waishio Uingereza
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Balozi wetu Unigereza Mh. Peter Kallaghe na wafanyabiashara wa Kitanzania waishio Uingereza wakati alipokutana nao jijini London Jana jioni. Picha na Ayoub Mzee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2011

    Mbona hizo picha hamtupi majina ya hao watu waliopigwa picha?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...