Salaam na heshima kwenu nyote.
KP Production in association with KP Wear Clothing Co. presents 'UPUUZI WA MASOUD KIPANYA', a 46-minute DVD by Masoud Kipanya.

Coming out soon..
Ps, it's just Upuuzi that can be watched and puuzwad.

Masoud Kipanya.
KP Wear Clothing Co.
1st Flr, Millennium Towers
Kijitonyama, DSM.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 18, 2011

    Tehe tehetehe tehetehetehe. GO BOY, kama kawaida yako. PI.. katoka bomba na black.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 18, 2011

    Jamaa kajiunga Chadema nini? Mbona kavaa gwanda zao?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 18, 2011

    kipanya nakaribisha sana hiyo cd. sasa wabeba mabox tutaipaje.
    maana hata sisi hatuelewi kwa nini tanzania bado ni masikini,

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 19, 2011

    Safi sana Masoud Kipanya "keep it up", naomba mawasiliano yako tafadhali.

    Sandag

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 19, 2011

    Safi sana.........haka kajamaaa ni kapuuzi kweli kweli..ha ha haaah !!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...