Home
Unlabelled
ushambenga wa KP
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo bado hatujapewa bajeti ya miaka sjui arobaini na ngapi ya uhuru. Mwaka huu tutatoa hadi damu zetu kujaza hayo makapu ya bajeti.
ReplyDeleteKweli ushambenga wa KP. Inabidi zitumike huko kwenye sherehe manake hata tukizileta huko mahospitalini hazitatosha, sasa si bora tuangalie priority iko wapi? au?
ReplyDeleteWakati wa Nyerere wala hahangaiki, sherehe kama hazi hazingii katika budtet, Serikali ikitoa agizo tu wafanyakazi wakatwe katika mshahara na mitaani kila nyumba inapewa kiwango chao, halafu hamuombwi, yaani sio hiari, ni agizo na lazima. Usipotoa kazi huna au mitaani foleni ya unga na mkate hupati kipande. Au mnataka serikali irudie utaratibu huu. Tumetoka mbali usione siku hizi tunanunua magari. Enzi hizo kuwa na gari noma.
ReplyDeleteTrue dat KP. Watanzania tunatumia pesa nyingi ktk sherehe za siku moja wakati vitu vya kudumu na muhimu hatuvipi kipaumbele. Mfano ni pesa zinachangishwa kufanikisha harusi(ambayo mara nyingi hatitodumu)au pesa zinazotumiwa ktk bar na concert za muziki. Vitu vya maana kama matibabu au kutafuta kinga za magonjwa hatuvipi kipaumbele. Tunazoea kusema "Mungu alipenda hiki kitokee,Ulikuwa mpango wa Mungu...Kazi ya Mungu haikosolewi... BS"
ReplyDeleteAngalia mahospitali yetu hayana vifaa vya muhimu,Shule hazina madawati,Barabara mbovu, maji na umeme hakuna.Lakini pesa za kuleta timu za Brazil,South Africa, wanamuziki wa Kigeni hazikosekani. Kweli Wafrika tuna safari ndefu.
uhru tuna usherekea kwa mabilion tunashindwa kusherekea kilimo kwanza kwa mabilioni hayo au sio serikari hii inayotaka kufikia malengo ya milenia mwaka 2015 kwa kupunguza umasikini na njaaaaaaaaaaa...............
ReplyDelete