Miss Tanzania 2010 Genevive Mpangala akizindua rasmi VODACOM MISS KAGERA 2011, ukumbi wa LINUZ CLUB wikiendi hii mjini Bukoba
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss TZ Ephraim Makoye (shoto) na Miss TZ wakiwa studiuo za Redio Gene FM mjini Bukoba
Miss TZ akiwa na event manager Max
Miss TZ 2011 Genevive Mpangala akipokewa kwa shangwe uwanja wa ndege wa Bukoba
Miss TZ akihutubia wakati wa uzinduzi huo
Picha ya pamoja baada ya uzinduzi

MISS KAGERA 2011 ITAFANYIKA TAREHE 10, JUNI HAPO HAPO LINUZ CLUB BUKOBA MJINI. WA
DHAMINIWAKUU NI VODACOM , WENGINE NI REDS(TBL), COCACOLA NYANZA BOTTLE, MICHUZI BLOG, VISION FM (BUKOBA), KASIBANTE FM( BUKOBA), MAMA NICE SALOON NA WENGINE BADO WANAKALIBISHWA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2011

    Kaka Michuzi,ebu nipe masharti ya udhamini! Ningependa nami niwe mdhamini binafsi ktk mikoa ya kanda ya ziwa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2011

    THE GENTLEMAN IN THE STUDIO ANAITWA ALBERT MAKOYE NA CIO EPHRAIMU

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2011

    Aisee hii Miss Tanzania mlimkandia ila mimi niligongana nayo jana hii kitu si mchezo, inalipa!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2011

    Hapo wadau wawili wanaonekana macho yao yote wapo kwa Miss TZ!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...