Wafa Dufour Bin Laden

Huku Dunia ikiwa inatawaliwa na habari pamoja na matukio yaliyoambatana na kupatikana na hatimaye kuuwawa kwa gaidi nambari moja Dunianiani (kwa mujibu wa CIA), Basi sisi Spoti na Starehe tunajaribu kuiangalia familia hii ya Osama Bin Laden katika kona nyingine ya kiburudani zaidi.

Pichani juu anaitwa Wafah Dufour ila jina lake kamili ni Wafah Dufour Binladin akiwa ni binti wa kaka yake Osama Bin Laden ambaye yeye na wazazi wake walikuwa wakiishi huko Calfornia-Marekani ambako walilowea.

Wafah ni mtoto wa kaka yake Osama anayeitwa Yeslam bin Ladin, Osama na Yeslam ni baadhi ya watoto 54 wa Mohammed bin Laden raia wa Yemen aliyeamia Saudi Arabia na kulowea huko ambapo alijiendeleza na kufikia kuwa ni mmoja wa makandarasi wakubwa. Mama yake anaitwa Carmen bin Ladin ambaye ni raia wa Iran amechanganyika na Mswiss. Ukitaka zaidi na mapicha kibao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2011

    Na yeye anaonekana kigaidi tu pamoja na urembo wake huo!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2011

    Watoto wa wenzao ndo wanawaona hawaishi kimaadili ya kiislam

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...