Huku Dunia ikiwa inatawaliwa na habari pamoja na matukio yaliyoambatana na kupatikana na hatimaye kuuwawa kwa gaidi nambari moja Dunianiani (kwa mujibu wa CIA), Basi sisi Spoti na Starehe tunajaribu kuiangalia familia hii ya Osama Bin Laden katika kona nyingine ya kiburudani zaidi.
Pichani juu anaitwa Wafah Dufour ila jina lake kamili ni Wafah Dufour Binladin akiwa ni binti wa kaka yake Osama Bin Laden ambaye yeye na wazazi wake walikuwa wakiishi huko Calfornia-Marekani ambako walilowea.



Na yeye anaonekana kigaidi tu pamoja na urembo wake huo!!
ReplyDeleteWatoto wa wenzao ndo wanawaona hawaishi kimaadili ya kiislam
ReplyDelete