mbunge wa viti maalumu mkoani arusha,joyce mukya(kushoto) akimkabidhi sehemu ya magodoro 40 mmoja wa waathirika wa tukio la ajali ya moto uliotokea mtaa wa esso wilayani arusha juzi ambao ulitekjeteza makazi yao.
baadhi ya waaathirika wa tukio la ajali ya moto ulioteketeza makazi yao juzo mtaa wa esso wakitoka katika ofisi ya mbunge wa jimbo la arusha mara baada ya kukabidhiwa msaada wa magodoro 40 yenye thamani ya kiasi cha sh,3.2 milioni.(picha na moses mashalla)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 02, 2011

    Je godoro tupu litasaidia kweli?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 03, 2011

    kweliiiiiii litasaidia na vitanda pia wapewe bwana,utapewa jembe bila mpini itawezekana kweli???????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...