Mdau Adam Mzee (kulia) ambaye katuletea taswira hizi
akiwa na rafiki yake baada ya kula nondozzz zao

Wanafunzi kutoka nchi 14 wamegraduate kwa pamoja siku ya jumamosi tarehe 14 mwezi wa tano mjini Mysore India.
Wanafunzi hao wanatoka ,Jordan,Yemen,Afighanstan, Iran,Uganda,Kenya,Tanzania,USA,Maldives , Somalia,Tajikstan,Sudan,Ethiopia na China.Hii ni graduation ya tatu kufanywa kwa pamoja kwa wanafunzi wanaokula nondozzz Chuo Kikuu cha Mysore University kwa kujumuisha mataifa yote yanayosoma Mysore.

Furaha ya nondozzz Mysore

Mdau akidoea picha kwa nyuma....
Picha zaidi pitia www.kamerayangu.blogspot.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...