Good Morning Michuzi,
I came across this interesting clip on You Tube, of a Chinese Orchestra singing our famous 'Malaika' song and it just goes to show how popular it is across continents.
Regards
Nitesh
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ours?
ReplyDelete"Malaika, which means "angel" in Swahili, is the most famous love song in Kenyan pop music, as well as one of the most widely known Swahili songs. Authorship of the song is usually credited to Kenyan musician Fadhili William"
From Wikipedia
i give up to the up-loader,and his/her true sense of self cultural understanding.miriam makeba had it gone global with that malaika hit.thou its origin is stil a debate(that fadhili guy wudnt feel bad as much as u do).ours? THAT SOUNDS LIKE YO SUPRIZED.HICHO KISWAHILI KILICHOTUMIKA HAPO JE KINAFANANA NA '' VILE WEWE UKIKUJA NA CHAPAA KISHA NITAKUPATA KWA MATAXI'' HEY,GET OVER IT,DONE CANT SPEAK SWAHILI TO PERFECTION,JUS GO ON WITH YO MAKABILA.I AM MAD.Uploader used the word our,ddnt even say ugandan,n yo brain full of absurdity,popped up to the word that?dont bring yo 2008 crap here.1 more thing anonymous,nitesh sounds indian,if its true then i can affirm to you that i am MORE than happy.does peace and love make any sense anything to you? YES OUR SONG,US HINDU,SUKUMA,LUO,KUYU,CHAGGA ETC,DEM DAYS R GONE.lets consider this:IF I HAD A TIME MACHINE,do you know what period of time i cud have thrown you into? take a guess.
ReplyDeleteWakenya bana. kila kitu chao. Mlima kilimanjaro wao, mbuza za wanyama zao, babu wa loliondo waoo mhhhhhhhhhh
ReplyDeleteIn fact wewe uliesema Malaika ni wimbo ulioandikwa na mkenya ni muongo na ni wizi. Mashairi haya kwa mara ya kwanza yameandikwa na mzee wa Kitanzania, mwenye asili ya kiarabu ambaye ni mwenyeji wa Moshi Kilimanjaro. Huyo anayejidai ni wa kwakehuko Kenya atakwambia kama ni nani aliutunga, endapo atakuwa muungwana. Nakubali kwamba inawezekana ulipata umaarufu tokea huko bali si mashairi. Watanzania documentation ni muhimu! Hawa wakenya wezi sana hawachelewi kusema Nyerere ni Mkenya.
ReplyDeleteSASA KAMA FADHILI WILLIAM ALITOKA KENYA NA KUIMBA KISWAHILI, MBONA WAKENYA MMESHINDWA KUJUA KISWAHILI VIZURI. LABDA MNGEKUWA MNASEMA KISWAHILI VIZURI KINGEWAAUNGANISHA NA 2007 MAPIGANO YASINGETOKEA. UKABILA TU NA UNYAMPALA NDIO MNAONA KUWA HIYO NDIO UZURI WA NCHI.
ReplyDeleteWAKENYA NOMA WANASEMA HATA JOHN MASHAKA SIO MTANZANIA NI MKENYA PAMOJA MHEMIWA SHAYO
ReplyDeleteBADO WATASEMA HATA MKAPA ALIKUWAMKENYA
KILA KITU CHEMA NI CHA KWAO
HII HATARI.
Huu wimbo asili yake ni uchagani na ulikuwa ukiimbwa makanisani hasa miaka ya 1912! na sitanii bali kuna VIONJO ambavyo vimeongezwa kwa waliokuja kuugani! na huu ndio ukweli jamani
ReplyDeleteHAHAHAAHA HATA MAKAO MAKUU YA TANZANIA YAANI DODOMA IKO KENYA...AHAHAHAHAHAH
ReplyDeleteohoo hivi hamna habari kuwa wakenya washaanza kutangaza kuwa mbuga za Serengeti ni zao, wataanza kula hela za watalii muda si mrefu.
ReplyDeleteWadau wa hapo juu wacheni kutoka kipovu cha mdomo kwa wimbo ambao uko very controversial kuhusu mwandishi wake.
ReplyDeleteHata hivyo Fadhili Williams alikuwa ni mtu wa Mombasa kwa hivyo kiswahili alikuwa anakizungumza vizuri sana.
Na kwa miaka hiyo hata hao Wachaga walikuwa hawaongei kiswahili hicho.