Je wewe ni msanii wa kike mwenye umri wa kati ya miaka 18 na 45?
Una muonekano mwenye haiba na mvuto?
Kama jibu ni ndio basi hii ni habari njema sana kwako..Kituo cha MAISHAMEMA EDUCATION & TRAINING CENTRE kinatafuta wasanii wa kike kwa ajili ya kuingia nao mkataba wa kucheza maigizo katika picha ambayo yatakuwa yakitumika katika jarida la MAISHAMEMA litakalo anza kuwa mitaani, tarehe 01 june.
Usaili utafanyika. Siku ya jumamosi ya tarehe 14/ 05/2011 kuanzia saa nne kamili asubuhi katika ofisi zetu zilizopo katika shule ya Sekondari Perfect Vision.
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU: 0652458398...
Je maingizo hayo yatahusisha sanaa za watu wazima?
ReplyDeleteKwenye sanaa za maigizo kuna "different role" hivyo si dhani kama ni sahihi kigezo cha kuchagua washiriki kiwe ni haiba na mvuto, cha kuzingatia ni uwezo wa kuigiza "talent" hayo mengine ni nyongeza labda kama mnataka kutayarisha video za picha za ngono " adult entertainment"
ReplyDelete