Wasanii mbalimbali wakitumbuiza katika onyesho la maalum la wasanii walioshinda tuzo za Kilimanjaro Muzic 2010 lililofanyika katika viwanja vya chuo cha Posta jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Tamasha hilo limeandaliwa na kampuni ya bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.
Mashabiki
Kalala Junior wa Mapacha Watatu na madansa wao
Lina jukwaani na THT
Mzee Yusuf akimwaga kiduku jukwaani na madansa wake


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...