
Manchester United are within touching distance of their 19th league title after beating Chelsea 2-1 in a superb game at Old Trafford. To Read full Story on BBC SPORT

aaaaaaaahhhhhhhhhha zawadi ya jioni hiyo cha 19 kinanukia hichoooooooo 
dah kama wewe sio man u basi jiunge sasa!!! 
otherwise you will walk alone 

thanks
MK


Daaaa kipofu kaona mwezi kwa mara ya 19th si mchezo sijui kama hakuona mwezi inakuwaje mwendo mdundo tunawasubiri barca sasa tuwatie adabu. tunataka kuweka history ktk champions leg vilevile.
ReplyDeleteAnkal kweli utupendi mtu tunamkoboa mara ya4 hii ktk mechi5 leo unasema kipofu kaona mwezi, mechi ya ufunguzi wa ligi Man 3 Chelsea 1 mechi za ligi ya mabingwanimemkoboa zote nyumba na ugenini Chelsea 0 Man 1 Man 2 Chelsea 1 na hii ya mwisho nimemkoboa Man2 chelsea 1 sasa hapo kipofu nani?
ReplyDeleteMdau
Kisiju pwani
kipofuu???????
ReplyDeleteUngekuwa anafagilia club za TANZANIA KAMA HIVYO CLUB ZETU ZINGEPATA WASHABIKI NA WADHAMINI ZAIDI.
ReplyDeleteuncle punguza unazi kaka..Historia yako inakwenda kuwekwa pembeni .ujitahidi kununua wachezaji sio kutegemea dua kama Wenger.Mpira ni hela sio kamati za ufundi..
ReplyDeleteHEEEE ati tumeona mwezi , watu tumeona jua hadi vimondo man u weweeeeeeeeeeeeeee nani kama man uuu uuuuuu, mlatie wa rg ha ha haa pole wanguuu
ReplyDeletesasa tunamsubiri huyo barca tumuonyeshe kazi...man u forever....
ReplyDeletemdau
konya- turkey