Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Bia ya Tusker Bw.Segun Macaulay (kulia) akimkabidhi Baraka Simon mkazi wa Yombo mfano wa cheki ya shilingi milioni moja mara baada ya kushinda promosheni ya Tusker Milioni 500 kwa mashabiki iliyoanza mwezi huu na itaendelea mpaka Julai kwa watumiaji wa bia ya Tusker kujishindia zawadi mbalimbali za fedha. Wanaoshuhudia tukio hilo kushoto ni Meneja Mauzo John Warange pamoja na Meneja wa Kinywaji cha Tuskere Rittah Mchaki, hafla ya makabidhiano hayo yamefanyika kwenye kiwanda cha SBL,Chang'ombe,jijini Dar.
Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Bia ya Tusker Bw.Segun Macaulay (pili kushoto) akimkabidhi Mathias Martin mkazi wa Sinza mfano wa cheki ya shilingi milioni moja mara baada ya kujishindia katika promosheni ya Tusker Milioni 500, kulia Meneja Mauzo wa Tusker John Warange wa (SBL) na kushoto ni Rittah Mchaki Meneja wa kinywaji cha Tusker.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...