Waziri Mkuu, Mizengo Pinda a kizungumza na baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kujadili Maeneo Huru ya Uwekezaji Barani Afrika (AFZA) baada ya kufungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es salaam leo. Kutoka kushoto ni Dk. Sule Yakubu Bassi wa Nigeria, Hakizimana Emmanuella wa Burundi ,Profesa Samuel Wangwe wa Tanzania, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Dr. Mary Nagu na Kulia ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam, Said Meck Sadiki
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekit i wa Baraza la Maeneo huru ya Uwekezaji barani Afrika (AFZA), Dr. N. Abe (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa EPZA nchini, Dr. Abdelhelm Meru (wapili kulia) na Waziri wa Viwanda , Biashara na Masoko, Cyril Chami (wapili kushoto) baadaa ya kufungua Mkutano wa wa Kujadili maeneo huru ya uwekezaji barani Afrika (AFZA) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Maeneo huru ya Uwekezaji barani Afrika (AFZA), Dr. N. Abe (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa EPZA nchini, Dr. Abdelhelm Meru (wapili kulia) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Mary Nagu (kushoto) baadaa ya kufungua Mkutano wa wa Kujadili maeneo huru ya uwekezaji barani Afrika (AFZA) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...