Home
Unlabelled
Simba kuileta nchini timu ya Birmingham City ya Uingereza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Edo kumwembe hebu mpige kibao huyo wametufunga Carling Cup final hao.
ReplyDeleteNilisoma kwenye gazeti moja la kila la kiswahili,FTT walikuwa wanalalamika eti Simba hawakuwataarifu kwa hiyo hawana taariba za ujio wa timu hiyo na kwamba mpira wa miguu Tanzania unasimamiwa na TFF tu..tunaomba ufafanuzi
ReplyDeleteDavid V
bwana michuzi zikiliza mzee wa kazi mimi mtanzania naishi hapa birmingham 2 miles from birmingham city stadium (st andrews)siyo kwamba simba inaileta timu ya birmingham kuja bongo.birmingham city wanakuja bongo between jun and july na watakuwepo bongo kwa siku nne hao jamaa wemetumwa kuja kuangalia kama tuna facility na watacheza na simba na yanga wako kwenye tour kwa ghalama zao wenyewe kwa ushidi nenda BBC WM(west midland)radio usikilize maojiano muda ilikuwa 16:00 na 18:00 kwahiyo rage aache uongo mambo ya haibu sana kuongea uongo
ReplyDeleteFTT ndio nini? Mambo ya mpira yote TZ yapo chini ya TFF kama mnataka kucheza mpira unaotambulika, kupewa waamuzi na ulinzi!!
ReplyDeletemmmmh
ReplyDeleterage ana onekana sio mbabaifu kama viongozi walio tangulia jengo lina ngara sasa mikaaba mibovu kaifuta hata heshima ya simba inaludi sasa
ReplyDeleteinaitwa season trip 4 preparation against leagueeee on aug
ReplyDelete