Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2011

    wakisema leo tuchague nani awe rais wa africa mimi kura yangu nitampa kagame huyu jamaa ana akili sana na anajua nini maana ya kuwa kiongozi bora.tanzania inabidi tuige mfano wa huyu jamaa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 15, 2011

    Ila umesahau kwamba President Paul Kagame kasababisha mauwaji ya Waafrika huko Kongo,karibu Wakongomani 6.000.000 wameuwawa kwa uvamizi wa Jeshi la Rwanda nchini Kongo mwaka 1998-2003.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 15, 2011

    TUNAOMBA HATA NYIE MUWE NA UTAMADUNI WA KUWAFATA VIONGOZI WENU TANZANIA NA KUWAULIZA MASWALI YANAYOHUSU NCHI YETU,SIYO TU MUNATULETEA HABARI ZA WATU WENGINE,KWA MFANO MTU ANASEMA WANAJIVUA MAGAMBA,INGEBIDI HUYO RAISI AULIZWE KWA KINA ANA MAANA GANI,NA HATIMA YAKE NINI.SIYO TU TUNAAMBIWA ALAFU TUNALIACHA LILIVYO.TUTAFANYWA WAJINGA MPAKA LINI?

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 15, 2011

    Kagame in my opinion is the best president around, najua kuna watu wanasema ana mkono kwenye genocide but that has to be proved. Huyu jamaa naona yupo very serious na uongozi wake na kama Rwanda itakuwa na Kagame for the next ten years, itakuwa mfano wa pekee Afrika. Songa mbele Mr. President. Nilitaka kusema ningependa Kagame angekuwa rais wetu ila naogopa kusema hivyo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2011

    mdau namba 2 ww inaelekea hujui nini kimefanya rwanda ivamie kongo.utakua unapenda media za wale wale.congo imefuga majeshi ya zamani ya rwanda pamoja na nterahamwe. aho ndo wamefanya mauaji dhidi ya kabila la watusi nchini rwanda 1994. rwanda imesema never never again adui wake popote alipo tutamfuata huko nakumpa kipigo hamna damu kumwagika tena kwetu.

    asante ankali kwa kutubandikia intavyu hii ya mzee kijana

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 15, 2011

    Baada ya genocide kagame amehisika na mauwaji ya halaiki huko DRC. Siasa za sasa za Rwanda ni za kuwapa fursa zaidi WATUTSI. Ni suala la MUDA tu WAHUTU ambao ni wengi watarudi tena kwa mtutu na Rwanda itarudi pale lale (SQUARE ONE). Kwa misingi hii sioni kama Kagame ni raisi mzuri sababu ingawa emedanya mengi kiuchumi hajengi stability ya kuda mrefu kisiasa. Namuunga mkono anony hapo juu kwamba na waandishi wa habari wa Tanzania na wao wachukue initiative kuwahoji viongozi wetu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...