ankal na Haki Ngowi (kulia) wakiwa na mmoja wa wadau waandamizi wa libeneke ambao wamekuwa nasi toka tunaanzisha Globu ya Jamii na hadi sasa ni washauri wetu wakuu. Anaishi Seattle na alikuwa Bongo kwenye vekesheni. Asante sana Mdau Mwandamizi mchango wako na wengine kama wewe tunauthamini mno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...