Hapa ndipo kiota cha kunyolea nywele cha kijana Masoud Bitebo Junior, kilichoko Mwananyamala A, tuta la kwanza kulia baada ya kituoni. Masoud, anayefuata nyayo za baba yake mdogo, Bitebo Hair Designer pale Lango la jiji Mgomeni na Mwananyamala Komakoma, anasema yeye anaendeleza libeneke na kuwakilisha vijana wa kizazi kipya katika ujasiriamali. Masoud ni mwanae Khalid Bitebo 'Zembwela' wa enzi ya TP Lindanda Pamba FC ya Mwanza. Ukitaka kufanya booking mpigie Masoud Bitebo namba 0716 842 626

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...