Lile songi la "Baba wa kambo" sasa limetua katika kambi mpya ya
Ngoma Africa band na kufanya zogo la nguvu...wimbo huo wa "Baba waKambo" wenye ujumbe mzito kwa jamii sasa utunzi wake Kamanda Ras Makunja unaweza kusikiliza at www.ngoma-africa.com  ambako baba wa kambo alivamia kambi hiyo ya FFU wa Ughaibuni aka Ngoma Africa band,na kuwafanyia kweli..,pamoja na FFU hao kujihimarisha kiulinzi..kwakutumia virungu na wanyama wakali lakini "Baba wa kambo" bado anatembeza kichapo..FFU katika kambi yao hiyo pia walisalimia wazee lakini baada ya "Salam Zenu"  "Baba wa kambo" kaamua kuwatembezea bakora kiasi cha FFU hao waombe msaada kwa ankal yao Michuzi aende kushudia kisago hiko !Song hilo la " Baba wa Kambo" pia limeanza kupasua anga katika kituo TBC radio mjini Tanga! sikiliza zaidi at www.ngoma-africa.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 10, 2011

    watoto kama ffu kuchapa bakora size yao,wamekuwa watukutu mno..tena hawana adabu hata chembe,tena kile kikamanda chao ni kitukutu mnoo..Baba wa kambo fanya kazi yako..chapa mikwaju

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...