Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Tatu Mapando, ambaye ni mmoja kati ya vijana waliotoa ushuhuda mbele ya Makamu wa Rais kuhusu matumizi ya madawa ya kulevya, baada ya kuacha kutumia madawa hayo. Tatu aliwahi kuwa mnenguaji wa muziki wa dansi katika bendi za Fm, Academia, Diamond Sound, Betta Musica na bendi kadhaa za jijini kabla ya kuanza kutumia madawa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Mkemia Mkuu wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Bertha Mamuya (katikati) wakati alipotembelea na kukagua mabanda katika Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam leo, wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga vita Biashara na Matumizi ya Madawa ya Kulevya, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, jijini Dar es Salaam leo.
Vijana waliokuwa wakitumia madawa ya kulevya, Rajab Huseein na Tatu Mapando, wakitoa ushuhuda kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya baada ya kuacha kutumia madawa hayo.
Baadhi ya madawa ya kulevya yaliyokuwa katika moja ya mabanda hayo kwa ajili ya maonyesho.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Je lile kabila linalokula bangi kama mboga ya ugali mbona hawajaadhirika?
ReplyDeletehizo kuber mbona ni poa tu kwa handas, tangu zimekuwa mihadarati??
ReplyDeletewatanzania uchwari wanapewa hela ya kuamua nini ni bora na nini si bora.kudadadeki mbona mfano wamarekani wanawatesa watu wao kwa kuwapa dawa adictive?nani anayeamua kiwango cha kimataifa WTO?jiulize ni nini haswa kiwango cha ubora wa embe kufikia international standard.im tired of been da only knowlegeable one.i knw many r there,pliz nipe tano.masikini kuber london west ham zimejaa kibao,ni 60 pence,mbona mnatuchanganya.kwangu dawa ya kulevya kwanza ni amerika,kisha vinginevyo pmj na ngoism.
ReplyDeletesijamuelewa mchangiaji wa tatu kutoka mwanzo, labda mniambie naye ni muathirika wa hayo madude ya kulevywa
ReplyDeletehicho kibakuli chenye sausage rangi nyekundu na nyeupe nayo mada ya kulevya pia au?
ReplyDeletenaona mr john anaswali tu,hana oni na akiwa nalo litakuwa na msingi wa swali tu.fuatilia kinachotokea mpaka kitukinawekwa kwenye sheria za anti narcotic drugs.jana hakikuwemo leo kimo.tofautisha cocaine from da moment inaonekana ni tayari haramu.fananisha mchango wa marekani kuchochea nchi kusign anti terrorism mpaka sasa mlipopigwa bomu embassy 1997,anti Drug Abuse and Illicit Trafficking etc.sasa kuber inafanya nini haswa mpaka ikafikia kiwango cha narcotic drug? uk full mpeto,nawaamini hawa watu wa huku,kwa tayarifa sio wote wa uk ni wazungu(nazungumzia waingereza sio wazungu panua hapo)
ReplyDelete