Home
Unlabelled
Gobogobo ngoma ya wasukuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Great cultural performance. Kumbukumbu zangu wakati nakua hii ngoma ya ugowogowo (pamoja na ugoyangi) ilikuwa inachangamka zaidi, tena mno, ila hii imepoa kidogo. Malenga alitakiwa kufanya mambo kweli kweli, ndiye aliyetakiwa kuvuta macho ya wote zaidi ya wachezaji/wasindikizaji. Pia lile goma kubwa ndio goma kuu la ugowogowo, ila nadhani kwa sababu za kuifundi hatukuweza kulisikia. Na mavazi huwa sio hayo, au mna-modernize kila kitu ndugu zangu? All in all, well done!
ReplyDeleteBugobogobo au gobogobo
ReplyDeleteMICHUZI UNAKUMBUKA HALAIKI YA 1971 MIAKA 10 YA UHURU COMBAINI YETU MNAZI MMOJA,JAMIATULI,JAMHURI NA MTENDENI PRIMARY SCHOOL TULIICHEZA GOBOGOBO KWA USTADI MKUBWA MPIGA GOMA KUBWA ALIKUWA RASHIDI IDI CHAMA,MAZOEZI YETU PALE PALIPOJENGWA MNARA MNAZIMMOJA OPOSITE YA KIBARUA BAR.SIKUHIZI ETI BONGO FLAVA BIT MOJA WANASHINDANA KUBANA PUA TU.
ReplyDelete