Kaka Michuzi, is this overview fair to Tanzanians?
 
"Tanzania is East Africa's largest country. It is just south of the equator, and stretches from the sea (Zanzibaris a 20 minute flight from Dar, or 2 hours on a ferry) to lakes Victoria, Tanganyka and Nyasa. It is four times the size of the UK, and has a population of around 39 million. People are concentrated around Dar es Salaam and Lake Victoria. The rest of the country is sparsely populated, much of it given up to game parks, of which the Serengeti and Ngorongora Crater are the most famous.

The people are friendly and relaxed (which can lead to frustration when you want to get things done) and, although they belong to a variety of tribes, Tanzanian identity and patriotism is strong, so there are no tribal problems. Swahili is one of the unifying factors, and it is spoken everywhere. English, the language of secondary and tertiary education, is generally of a poor standard in rural areas.

Tanzania is a democracy, and one where presidents step down, something of a rarity! Since economic liberalism was introduced in the early 1990s there has been substantial growth, with the economy currently growing at about 6% pa. It remains a poor country though, with per capita income averaging $200 pa. Being a stable, democratic, economically liberal country, Tanzania receives a lot of support from donors, including....."
 
 
Naomba uiweke ili tuone wadau waijadili na kututoa tongotongo
Mdau Dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 27, 2011

    Its of no value unless we know who wrote it. Its different if Obama said so, its meaningless if its Joe Blog
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 27, 2011

    UNCEL samahani waambie hao wadau wanaotia hoja humu kwenye blog wajalibu kuandika kwa lugha ya taifa, kwamba taifa letu linatumia lugha ya kiswahili ndio kuu kwa taifa,sema serikali ya kina fulani ndio wanalazimisha kiingereza ndio iwe lugha ya taifa ambapo sehemu kubwa ya watanzania hawafahamu kusoma wala kuandika wala kuelewa mtu anapozungumza kwa tunaomba mtu atakaetia hoja zinazohusu kitaifa tafadhali tumia lugha ya taifa ili kila mtu akuelewe vizuri hoja yako,ustaarabu wa kukuza lugha yako.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 27, 2011

    Inaonekana kama imeandikwa na mmoja wa watani zetu! Hata hivyo mada yako haina mvuto sana kiasi cha kusisimua watu kuchangia. Ungeiandika kwa kiswahili na ukataja jina lako na anuani yako pengine ingevutia zaidi.

    Mwisho umetoa hoja haina kichwa wala miguu unataka michango gani kutoka kwa wadau?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 27, 2011

    Ewe mdau unayetaka kutulazimisha lugha gani tutumie,Get a life
    Siye twajua kiswahili na kizungu na kiarabu ni urithi wa elimu yetu, tafadhali usijaribu kututia kizibo mdomoni
    Wewe mwenyewe wasema...UNCEL...hicho si kiswahili
    Pili wasema.....wajalibu.....audhulillah
    Nakuomba samahani I just got up on the wrong side of the bed if you know what I mean
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 27, 2011

    Kiwango cha kiingereza ni kibaya hata kwa mijini labda kwa shule za binafsi. Demokrasi haijatulia maana kila baada ya uchaguzi vyama vya upinzani vinadai vimeibiwa kura. Hivi sasa CUF imetulia baada ya kugaiwa ulaji. Lakini umeibuka maandamano ya CHADEMA. Wabunge wa upinzani hawataki kupiga kura bungeni ili kupitisha sheria. Fikira zao kuwa sheria wanayoipinga wao ndio iondolewe. Pato la taifa ni dogo kuliko $200. Kama unataka kuandika kitaalamu lazima ufanye "citation". Katika hii habari yako hakuna hata moja. Kujua kingereza haina maana kuwa unaweza kuanduika tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2011

    Mdau umenikumbusha. Niko ughaibuni nasoma. Kila kitabu au article nayosoma kuhusu misaada naona Tanzania inaongoza dunia nzima kwa kupokea misaada mingi, From Latin America, Asia, to Africa; sisi tunapendelewa kwa kupata misaada kuliko nchi nyingine yeyote. Nikajiuliza sasa mbona bado tunaongoza kwa umasikini? Au misaada inatulemaza. Embu tusaidiane mawazao. Na ni kwa nini tunasaidiwa sana kuliko nchi nyingine duniani? Are we expert kwenye kujikomba?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 27, 2011

    Imeandikwa na john mashaka au vi vibaraka wake

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 27, 2011

    Misaada mingi wanayotupa hawa wafadhili wetu ni kiini macho tu.
    Ukiangalia pesa walizopeleka Afghanistan au Iraq zilikuwa ni noti za $100 in bundles placed on pallets, fork-lifted into cargo planes.Have you seen such planes arriving in Bongo? Ng'oo.
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 27, 2011

    Pallets of US cash sent to Baghdad before handover
    Reuters (excerpt) ^ | February 6, 2007 | Jeremy Pelofsky
    Posted on Wed Feb 07 2007 02:10:08 GMT+0000 (GMT Standard Time) by HAL9000

    Excerpt -

    WASHINGTON, Feb 6 (Reuters) - The U.S. Federal Reserve sent record payouts of more than $4 billion in cash to Baghdad on giant pallets aboard military planes

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 27, 2011

    makubwa haya.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 27, 2011

    Mtoa mada unamaanisha nini kuseme kutoa matongotongo. Je unamaanisha hayo uliyoyandika wewe ndiye wa kwanza? unaboa kweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...