Muigizaji wa filamu Jacob Steven a.k.a JB akipokea tuzo yake ya Muigizaji Bora wa Mwaka kutoka kwa Profesa Martin Mhando, CEO wa tamasha la kimataifa la filamu (ZIFF), Tuzo ambayo alijinyakuli tuzo ya dhahabu kupitia filamu yake ya Senior Bachelor, ambapo Filamu Bora ya Mwaka ilikuwa ni Ray of Hope iliyotengenezwa na Pilipili Entertainment chini ya mwandaaji Sajni Srivastava zilitolewa katika kilele cha tamasha hilo la ZIFF lililokuwa likifanyika Ngome Kongwe mjini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...