Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) Ramdhan Khalfan (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu ya maonyesho ya 35 ya Biashara ya kimataifa ya Dar es salaam yanayoanza kesho Jumanne jijini Dar. Wengine katika picha ni Kaimu Mkurugenzi Ukuzaji Biashara wa TANTRADE Masha Hussein(kushoto) na Mwakilishi wa wafadhili wa maonyesho ya mwaka huu ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Home Shopping Centre Said Mohamed (kulia). Chini Bw. Khalfan akionesha hati ya kimataifa ya ubora wa maonesho ambayo TANTRADE imetunukiwa
Home
Unlabelled
maonesho ya 35 ya sabasaba 2011 kuanza kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...