Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa kwanza wa Rais, Fatma Ferej akiwaeleza jambo wanajumia ya FUPECO kuhusu uhifadhi wa mazingira ikiwemo Mikoko katika fukwe ya Bahari ya Hindi,visiwani Zanzibar.
Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa kwanza wa Rais, Fatma Ferej akikagua fukwe huko Fumba kabla ya kuizindua rasmi jumuiya ya FUPECO. kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Magharibi Hasan Mussa Takrima.
Katibu wa jumuiya ya kuhifadhi mazingira FUPECO Abdulrazak Shaaban wapili kulia akimuelezea Waziri wa Nchi ofisi ya Makamo wa kwanza wa Rais Fatma Ferej, juu ya uchafuzi wa mazingira huko Fumba. (Picha na Hamad Hija Maelezo Znz)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...