2. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI Mheshimiwa Kapteni Mstaafu George Mkuchika akilifungua rasmi baraza jipya la Wafanyakazi la Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI tarehe 01 Juni 2011 kwenye Ukumbi wa manispaa ya Ilala.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Kapteni Mstaafu George Mkuchika akisindikizwa na Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma bwana John Mchenya wakati akiondoka katika ukumbi wa Mikutano wa Manispaa ya Ilala tarehe 01 Juni, 201
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa OWM-TAMISEMI wakimsikiliza Waziri wa Nchi OWM-TAMISEMI Mheshimiwa Kapteni Mstaafu George Mkuchika (hayupo pichani) wakati akifungua kikao rasmi cha Baraza hilo tarehe 01 juni 2011 katika ukumbi wa Manispaa ya Ilala
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa OWM-TAMISEMI wakimsikiliza Waziri wa Nchi OWM-TAMISEMI Mheshimiwa Kapteni Mstaafu George Mkuchika (hayupo pichani) wakati akifungua kikao rasmi cha Baraza hilo tarehe 01 juni 2011 katika ukumbi wa Manispaa ya IlalaKatibu wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bwana Constantine Nyilawila akimsikiliza kwa Makini Katibu wa TUGHE Mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa Baraza hilo Bwana John Mchenya wakati wa kikao cha Baraza hilo kilichofanyika tarehe 01 juni 2011 katika ukumbi wa Manispaa ya Ilala.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa OWM-TAMISEMI wakimsikiliza Waziri wa Nchi OWM-TAMISEMI Mheshimiwa Kapteni Mstaafu George Mkuchika (hayupo pichani) wakati akifungua kikao rasmi cha Baraza hilo tarehe 01 juni 2011 katika ukumbi wa Manispaa ya Ilala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...