Dk. Eria Nemes wa Shirika la Afya Duniani (WHO) akichangia hoja juu ya shida ya kupatikana kwa hati za kuzaliwa nchini Tanzania, ambapo kwa kuwa Kabidhi Wasii (RITA) iko chini ya wizara ya mambo ya ndani haitoi nafasi ya watoto kusajiliwa mara tu baada ya kuzaliwa hapo hapo hospitali. Hii ilikuwa ni katika semina ya wanahabari kujadili njia nzuri za kuhamasisha umma kuhusu afya ya mtoto na mzazi
Home
Unlabelled
mtaalamu atoa wazo la kurahisisha upatikanaji wa hati za kuzaliwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...