MAREHEMU JULIE KALEYA
KUMBUKUMBU YA DADA JULIE ALIYE FARIKI MIAKA 9 ILYOPITA UNAKUMBUKWA SANA NA KAKA YAKO DERICK MSHANA,
MWANAO PEKEE ULIYE MWACHA PENDO, MAMA MZAZI BI EMMA FANUEL WA USANGI FAMILIA YA MR.AND MRS TULLIY WA FIRE FLAT
KAKA NA DADA ZAKO WOTE MISA ITAFANYIKA JPILI MBAGALA DSM TANZANIA
BWANA AMETOA BWANA ATWAA
AMEN
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWAKO MR MICHUZI NA BLOG YA JAMII KWA UJUMLA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...