Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Muleba Kusini na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi, Charles Mwijage, kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea kutoka Musoma, Bigambo Jeje kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo.
Kaka Michuzi na timu yako kuweni makini mnapokuwa mnataja majina ya watu na kazi/vyeo vyao, mara kibao tu mnachanja pori kaka na kuwachanganya wasomaji. Waziri wa ardhi.... nadhani ni prof.Anna Tibaijuka labda kama JK amefanya mabadiliko jana.
ReplyDelete