Baadhi ya Wahariri vyombo mbali mbali ya Habari wakiwa katika hifadhi ya wanyama ya Mikumi mara baada ya kumalizika kwa Warsha ya TANAPA iliyofanyika mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro.
Wahariri wakiwa Mikumi baada ya Warsha ya TANAPA mwishoni mwa wiki.
Wahariri wakiwa Hifadhi ya Taifa Mikumi baada ya Warsha ya TANAPA kwa Wahariri mwishoni mwa wiki iliyofanyika mkoani Morogoro.
Wahariri wakiangalia bwawa lenye kiboko lililopo ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mikumi pindi walipotembelea mara baada ya kumalizika kwa Warsha iliyokuwa imeandaliwa na TANAPA mkoni Morogoro mwishoni mwa wiki.
Sasa wanatuambia kitu gani hao waandishi wa habari?Niliwaona pale mikumi siku ya Jumamosi tarehe 25/6/2011 wanashangaa tu na coaster yao.Nilitegemea watupe hatafaida moja ya kutembelea hiyo mbuga basi..Wameweka picha zao tu basi ..kweli waandishi tunanao
ReplyDelete