Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad ( kulia ) akisalimiana na mmoja wa wahitimu watarajiwa wa Chuo Kikuu cha kiislam cha kilichopo mkoani Morogoro.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Morogoro ( MUM) wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Maalim Seif Sharrif Hamad ( hayupo pichani) Juni 26,mwaka huu mjini Morogoro wakati wa Mahafali ya wanajumuiya ya Kizanzibari wanaosoma kwenye Chuo Kikuu hicho, wanaotarajia kumaliza masomo yao Julai mwaka huu.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...