Dkt. Mohamed Ghalib Bilal akihojiwa na Flora Nducha wa UN Radio
Serikali ya Tanzania inasema pamoja na kupiga hatua katika vita dhidi ya ukiwmi bado ina safari ndefu ingawa zaidi ya asilimia 50 ya waathirika wanapata dawa za kurefusha maisha.


Kwa mujibu wa Makamu wa Rais wa nchi hiyo Dr Mohammed Gharib Bilal aliyezungumza kwa kina na mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa mataifa Flora Nducha nia yao ni kufikia maambukizi sufuri, vifo sufuri na unyanyapaa sufuri dhidi ya ukimwi.

Msisitizo pia inaweka kwa kina mama ambao inaonekana hawana maamuzi makubwa ikilinganishwa na wanaume katika gonjwa hilo hatari. Dr Bilal anaanza kwa kufafanua hatua zilizopigwa na taifa hilo la Afrika ya Mashariki katika mapambano ya ukimwi.

(MAHOJIANO NA DR BILAL)
Kusikiliza au ku-download moja kwa moja mahojiano haya bofya hapa

http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/

AU:
                    
 http://www.facebook.com/UNRadioKis

AU:
                    
 http://twitter.com/redioyaum

AU moja kwa moja kwenye mahojiano yenyewe


http://www.unmultimedia.org/radio/kiswahili/2011/06/katika-vita-vya-ukimwi-tanzania-kuongeza-elimu-madawa-na-utafitidr-bilal/ 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...