Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (katikati) akizungumza na wana  SEUMA  - A -SACCOS (Segerea Ugombolwa Machimbo) ya jijini Dar es Salaam wakati  wa sherehe ya kuwagawia salio  la shilingi 18 milioni ,Juni 15,2011.  (kulia) ni Mwenyekiti wa  SEUMA -A-  SACCOS Leticia Banyasa. na (kushoto) ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Leonidas Gama.
 Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akimkabidhi gawio mwanachama wa SACCOS -A-Ya SEUMA Segerea - DSM Asha Mwalimu.
 Mama Salma Kikwete akiangalia baadhi ya kazi za mikono za  SACCOS -A-ya SEUMA, Segerea Juni 15,2011 , pichani kulia ni mkuu wa SEUMA, Leticia Bany.
 Mama Salma Kikwete akiangalia zawadi aliyopewa na wana  SACCOS-A- ya SEUMA, Segerea -Dare es Salaam ,kwenye hafla fupi iliyofanyika hapo jana.
Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya pakacha lenye muhogo kutoka kwa mwana SACCOS-A- SEUMA kutoka Segerea,jijini Dar es Salaam kwenye hafla fupi iliyofanyika hapo jana.






Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa SEUMA- A ,SACCOS SEGEREA   Leticia  Banyasa wakikata keki  katika sherehe hiyo ya kupongezana  na kugawana gawio la shilingi milioni 18.




Mama Salma Kikwete akisalimiana na wanachama wa SACCOS ya SEUMA-A-,Segerea jijini Dar es Salaam.
Wana SACCOS -A-ya SEUMA Segerea  jijini Dar wakishangilia hotuba ya Mama Salma Kikwete.(Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...