Home
Unlabelled
mambo ya gado
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mara nyingi ninapenda cartoons za gado, lakini mimi ninaona hapa ana behave kama kibaraka wa wazungu. amekaa hapo kumponda gadaffi badala ya kuwaponda wazungu ambao wanatupa mabomu huko libya na kuuwa watu.
ReplyDeleteWee Anony wa kwanza hapo juu: Pengine nikuuulize kuwa na Gadaffi alipokuwa anauwa raia wake (kama sisiminzi)na Wa-Afrika (including African Union)na wewe mlikuwa wapi? au kuuwa watu kwa ndio utamaduni wa Ki-Africa?
ReplyDeleteAnony wa kwanza usimulaumu GADO. Kuchora ni kipaji. Swala la kufikiri na kutambua haki iko wapi ni tofauti,ni nyeti, na linahitaji umakini wa hali ya juu.
ReplyDeleteHata kama Gadafi kauwa watu, wewe huna haki ya kumpiga kwa mabomu wala kumuamuru atoke nchini mwake. Mbona israel wanauwa watu kila siku mbona hawajapigwa mabomu. Marais wangapi wameuwa watu hapa Afrika bila ya kuwataja je wapigwe mabomu.
ReplyDeleteBrother Gaddafi
ReplyDeleteActually I am not my brothers keeper, but I hate all this NATO etc trying to change the political scenes around the world.
Having said that, brother Gaddafi, dont worry about this arrest warrant.Have you not seen the picture of Al Bashir receiving red carpet reception in China?
A two finger salute to the ICC.
Hakuna ushahidi ulionyeshwa hadharani kama Gaddaffi aliuwa raia wake au kuuwa baadhi ya raia wengine kama walivosema baadhi ya wachangiaji hapo juu, lakini tukitizama hayo mazuri mingi aliyoyafanya basi ninaamini hata huyo Nyerere basi hakuwahi kufanya , Gaddaffi alipoingia madarakani aliukuta uchumi uko kwenye 40% na akaupandisha hadi 86% , alijenga barabara, alijenga makaazi ya wananchi, alihakikisha hakuna mwananchi hata mmoja wa libya hana nyumba au hana kipato , ametumia faida ya mafuta kwa kuingiza katika kila account ya mwananchi wa Libya pia amechimbua maji kutoka Desert na yanatumika hadi katika ukingo wa Tunisia , Je Marekani na washirika wake tuaulize kuna wananchi wao wangapi hadi leo hawana kazi, wanalala nje, hawapati mahitaji muhimu, wanakufa kwa maradhi???
ReplyDeleteDivide and rule is the colonialist policy and is still today. Hawajabadilisha chochote katika sera zao hizo, actually hawa wenzetu wa west wanajua Africa masikini tu, reference za vitabu vya Foreign policy ni vile vile vya zamani na walivyoviandika wao, Afrika wanakufa kwa njaa na maradhi na ukimwi, umeona juzi Michele Obama alichozumgumza Africa ya Kusini ni Ukimwi tu. Hivi sasa wanakuja wengi tu hapa kwetu peace corps, akina Adeneur Foundation kuelekea uchaguzi wa 2015 kama walivyowavuruga Kenya na sisi ni zamu yetu inakuja. Gaddafi wameshammaliza sisi ni nzige tu kifo chetu kinakuja. Gadafi alikuwa anatamba, ni tishio kwa waarabu wenzake na wazungu vilevile
ReplyDeleteUsilolijua ni kama usiku wa giza mimi huwa na wiwa sana na wachangiaji ambao hujaribu kupapasa habari bila kuwa na uhakika wa kitu wakichangiacho. Sasa kwa taarifa nchi Gaddafi si muuaji kama Police wa Tanzania, Soma taarifa kama wewe si mvivu wa kusoma;
ReplyDelete"...US President Obama has frozen $30 Billion of Libyan funds earmarked for
African Projects. The Obama Administration is giving $25 million to the rebels
for a Regime Change agenda in Libya, which EU and USA have vowed to accomplish.
France, UK and Italy have sent military experts to strengthen the rebels. Obama
had approved covert CIA actions before the bombing of Libya began in mid March.
It was Gaddafi's Libya that offered all of Africa its first revolution in modern times – connecting the entire continent by telephone, television, radiobroadcasting and several other technological applications such as telemedicine
and distance teaching. Moreover, thanks to the WMAX radio bridge, a low cost
connection was made available across the continent, including in rural areas.
It began in 1992, when 45 African nations established RASCOM (Regional African
Satellite Communication Organization) so that Africa would have its own
satellite and slash communication costs in the continent. This was a time when
phone calls to and from Africa were the most expensive in the world because of
the annual US$500 million fee pocketed by Europe for the use of its satellites
like Intelsat for phone conversations, including those within the same country.
An African satellite only cost a onetime payment of US$400 million and the
continent no longer had to pay a US$500 million annual lease. Which banker
wouldn't finance such a project? Nevertheless, the problem remained – how can
slaves, seeking to free themselves from their master's exploitation ask the
master's help to achieve that freedom? Not surprisingly, the World Bank, the
International Monetary Fund, the USA, Europe only made vague promises for 14
years. Gaddafi put an end to these futile pleas to the western `benefactors'
with their exorbitant interest rates. The Libyan guide put US$300 million on the
table; the African Development Bank added US$50 million more and the West
African Development Bank a further US$27 million – and that is how Africa got
its first communications satellite on 26 December 2007.
The US$30 billion frozen by Mr. Obama belong to the Libyan Central Bank and had
been earmarked as the Libyan contribution to three key projects which would add
the finishing touches to the African federation – the African Investment Bank in
Syrte, Libya, the establishment in 2011 of the African Monetary Fund to be based
in Yaoundé with a US$42 billion capital fund and the Abuja-based African Central
Bank in Nigeria which when it starts printing African money will ring the death
knell for the CFA franc through which Paris has been able to maintain its hold
on some African countries for the last fifty years. It is easy to understand the
French wrath against Gaddafi..."
Gaddafi alimpa silaha na wanajeshi na kisha kumhifadhi adui yetu Idd Amini baada ya kuua ndugu zetu kagera. Kwa hilo tu watanzania wote lazima tuunge mkono kuangushwa kwake, hata nyerere angekuwepo leo angesupport hili kwani Gaddafi alitufanyia ushenzi mkubwa sana wakati wa vita ya kagera akimuunga mkono swahiba wake Idd Amini
ReplyDeleteMisupu
ReplyDeleteSijui kama jamaa hapo juu atasoma maoni yangu maana naona yapo kwenye ukurasa wa nyuma.Amlaumu Gadaffi kwa kumsaidia Idi Amin, ilikuwa ni kosa,in politics people make mistakes but not necessarily hanging offences.Has he forgotten Tanzanias support for the break away Biafra under Colonel Odumegwa Ojukwu?