
Mshindi wa promosheni ya Jivunie SMS, Michael Swai wa Musoma mjini, mkoani Mara akifurahia mandhari ya ndani ya gari mara baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya hilo na Airtel. Swai, ambaye ni muuza duka,amejishindia gari mpya aina yaToyota Rav 4 yenye thamani ya shilingi milioni 47 katika promosheni iliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika viwanja vya Mukendo mjini Musoma.


Nauliza swai ni mfanyabiashara au muuza duka umesema mfanyabiashara amejishindia gari theni muuza duka anavinjari na gari lake je ipi sahihi
ReplyDeletekwani mtu awezi kufanya biashara ya kuuza duka?
ReplyDelete