WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA AKISALIMIANA NA MBUNGE WA UZINI MH.MOHAMMED SEIF KHATIB KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO (JANA) TAYARI KWA KUANZA KWA KIKAO CHA BUNGE LA BAJETI HAPO KESHO (LEO) KULIA NI MBUNGE WA JIMBO LA CHWAKA MH.YAHYA KASSIM ISSA
MKUU WA MKOA WA DODOMA MH.JAMES MSEKELA AKIMKARIBISHA WAZIRI MKUU MH. MIZENGO PINDA KWENYE UWANJA WA NDEGE DODOMA ALIPOWASILI JANA ASUBUHI TAYARI KWA KUHUDHURIIA KIKAO CHA BUNGE LA BAJETI KINACHOANZA LEO DODOMA
PICHA NA MDAU NICHOLAUS MMBAGA PMO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...