Mchezaji wa timu ya soka la APR Fc ya Rwanda,Nyirenda Victor ( kushoto)ambayo ni mabingwa watetezi wa Kombe la Kagame , akichuana na beki wa timu ya Port Djibuti, Mahdi Ahmed Yahyam ( kulia) katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa Jamhuri mjini hapa , timu ya APR Fc walishinda mabao 4-0.
Mlinda mlango wa timu ya Port Djibuti ,Kalid Alli Mounsar akiokoa mkwaju wa penati iliyopigwa na mchezaji wa timu ya APR Fc ya Rwanda, Mugiraneza Baptiste, panati iliyotolewa na Mwamuzi wa Kenya ,Silvestar Kilya ( hayupo pichani) baada ya kutokea madhambi langoni mwa Djibuti, katika mchezo wa kwanza Kituo cha Morogoro juzi. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...