Viongozi wapya John Butondo--Mwenyekiti (shoto) ovin Peter Suku Katibu (kati) na Da Fadya Wathne ambaye aendela kuwa Mweka hazina wa Jumuiya hiyo
Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya Felix Mgonja (kati) akiwa na Da Fadya mweka hazina (lulia) na katibu mstaafu Fortunatus Bundu
Juu na chini ni Balozi mpya Sweden na Scandinavia Mh. Mohammed Mzale akiwa na baadhi ya Watanzania waishio Denmark baada ya kukutana nao.
Mbona mmeambizana wenyewe kwa wenyewe? na watanzania wapo wengi sana nchini denmark. wacheni ubaguzi umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu.
ReplyDelete