Bill Gates na mkewe Melinda wakiwa mkekani huko Bagamoyo wakipata maelezo kutoka kwa mtafiti wa chanjo ya malaria.
Mke wa Bill Gates Melinda akiwa na zawadi aliyopewa na mmojawapo wa washiriki wa chanjo ya malaria huko Bagamoyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2011

    ebwanaeee nimewaaminia Bill and Mellinda Gates..yaani wana hela ndefu lakini aaah, hakuna mashauzi wala nini.wako simple kinoma.Ingekua wenzangu na mie,yaani full kujikoki na mabling bling..hahahaaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2011

    Mwenye pesa haitaji kujionyesha. Hiyo ndio desturi nzuri. Huwezi kuamini ameacha chuo kuendeleza ujasiriyamali. Hii iwe ni changa moto kwa vijana kuwa kufeli shule sio kufeli kimaisha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2011

    Mzungu akiwa simple mnasema eti hajisikii, mwafrika mwenye pesa akiwa simple mtasema amechanganyikiwa......

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 01, 2011

    Wabunge mpooo na mashangingi yenu ya V8, full wese for free,nyumba for free!nk nk achana na marupurupu kibaooo wakati waliowapigia kura hata maji na umeme hawana,mlo mmoja shida ;ninyi mnajimegea nchi tuu wala hakuna linalowazuia.
    Huu mfano bora jamaa wametoka mbali na leo wapo B'moyo wanasaidia watu ambao ninyi hamuwasaidii wala haiwaumi.
    Kweli mungu yupo na kila mtu ana rizki yake.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 01, 2011

    Mkinga na mamilioni yake akifanya hivi wabongo mnadai mchawi, masharti na upuuzi kibao! Mshindwe!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...